Jukwaa la Majaji likiwa tayari Kwai shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo Mkoani Mwanza Katika Kanda ya Ziwa.
Mafundi Mitambo wakiwa Tayari kwa Kazi
Kundi la Kwanza la Vijana waliojitokeza katika Usaili wa Shindano la Kusaka Vipaji Vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa kwenye foleni tayari kwa zoezi la kuonyesha vipaji kuanza.
Kundi la Kwanza la Vijana Waliojitokeza katika Shindano la Kuonyesha Vipaji vya Kuigiza Tanzania Lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa kwenye chumba cha kusubiria.
Picha na Josephat Lukaza
0 comments:
Post a Comment