Thursday, September 4, 2014

ITAZAME EXCLUSIVE MUSIC VIDEO MPYA YA YAMOTO BAND - NISEME: KAONEKANA RICK ROSS WA BONGO NA KINGWENDU

KUTOKA TEMEKE Dar es salaam ninayofuraha kukutanisha na vijana ambao sauti zao ni maarufu sana kwenye Radio sasa hivi….. 
Vijana wasiozidi miaka 25 ambao wako chini ya Mkubwa Said Fela wakiongozwa na Aslay ambapo hii ni single ya 4 kutoka kwenye hii Yamoto band baada ya zile za Yamoto, birthday, nibemende na sasa ni iseme.

Usiache kusema chochote baada ya kuiona hii video? umeonaje idea ya Kingwendu kushiriki, Rick Ross wa bongo je? video kwa ujumla umeionaje? Wahusika watapita kila jioni kwa siku nne mfululizo kuangalia watu wao wamesemaje.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI