Friday, November 11, 2016

BRAD PITT AONEKANA HADHARANI KWA MARA YA KWANZA TOKA AACHANE NA ANGELINA JOLIE *PICHAZ*

MWIGIZAJI mkubwa Marekani Brad Pitt ’52’ ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza toka talaka yake na Angelina Jolie September mwaka huu,
 Brad alikuwa akitangaza filamu yao mpya ya Moonlight akiwa na Julia Roberts mjini Los Angeles.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI