MSANII wa Hip Hop Zola D a.k.a Unde ameachia brand new Video ya wimbo wake mpya wa Good Life Good Vibe ambao amefanyia video huko nchini Germany.
Record producer wa limbo huo ni Lorenzo Bruno di Stefano ambapo ameufanya chini ya Unde International Movement.
Wadau wa burudani wamesema huenda huu ukawa ni ujio mpya wa msanii huyu machachari katika body building exercises kulitega game katika upande wa Hip Hop.
Angalia video hapa chini.

0 comments:
Post a Comment