Friday, November 11, 2016

*PICHA* YA JAY Z NA SOLANGE KWENYE HILI ENEO YALETA DRAMA TENA KWENYE FAMILIA YAO

Baada ya mama yake Beyonce ‘Tina Knowles’ kuweka na kutoa picha ya Solange na Jay Z instagram wakiwa kwenye lift pamoja, kitendo hichi kimekumbushia lile tukio la ugomvi wao kwenye lift.
Mwaka 2014 Solange aligombana vibaya na Jay Z kwenye lift mjini New York na video ya jambo hilo kusamba kwenye mitandao ya kijamii. Fahamu Solange alimpiga Jay baada ya kuwa na imani kuwa alimsaliti mdogo wake.
Tina Knowles alifuta picha hio fasta ila ilikamatwa na wafuatiliaji wa maisha ya mastaa kwenye mitandao

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI