Saturday, November 12, 2016

ANGALIA BRAND NEW *VIDEO* YA ALICIA KEYS F/ A$AP ROCKY – BLENDED FAMILY

Alicia Keys ameachia video yake mpya ya wimbo wa “Blended Family” aliomshirikisha A$AP Rocky ambao unaopatikana kwenye albamu yake aliyoiachia hivi karibuni ya Here. Ndani ya video hiyo pia imeonekana familia ya muimbaji huyo akiwemo mumewe Swizz Beatz na watoto wao watano.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI