Monday, September 7, 2015

STEVEN GERRARD NA FAMILIA YAKE WATINGA SEHEMU INAZOTAJWA KUWA NA FURAHA DUNIANI *PICHAZ*

Kiungo wa kimataifa wa Uingereza na klabu ya LA Galaxy ya Marekani Steven Gerrardameingia katika headlines baada ya kwenda kuenjoy na familia yake DisneylandGerrard na mkewe pamoja na mabinti zake watatu walienda kutembelea Disneyland kama sehemu ya kufurahia mapumziko yao.
Gerrard-disney
Familia ya Steven Gerrard ilienda kutembelea Disneyland ikiwa ni wiki moja imepita toka watembelee katika studio ya Universal akiwa sambamba na mkewe Alex, pamoja na mabinti zake Lily-EllaLexie na LourdesDisneyland inatajwa kuwa moja kati ya sehemu zenye furaha duniani kwa mujibu wa mirror.co.uk.
Steven-Gerrard-Disney-lamn
Hata hivyo Gerrard aliyejiunga na klabu ya LA Galaxy akitokea katika klabu ya Liverpool, bado anaendelea kuenjoy na kutembelea maeneo tofauti tofauti ya Marekaniakiwa na familia yake.
Gerrard-disney-3

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI