Monday, September 7, 2015

MCHEKI VINCENT KOMPANY AKIMCHEZEA FAULO BINTI YAKE SIENNA UWANJANI *VIDEO*

Vincent Kompany amezaliwa kuwa mshindi na kiongozi katika mchezo wa soka, Kompany ambaye ni nahodha wa klabu ya Manchester City pamoja na hayo, Kompany ni baba wa familia na anapenda kucheza na binti yake Sienna.
Nimeona nikukumbushe hii video ya nahodha huyo wa Man City akicheza na binti yake Sienna, licha ya kuwa hii video haikutoka mitandao, ilikuwa katika mechi ya msimu uliyomalizika baada ya mechi ya Man City dhidi ya Southampton mchezo uliyomalizika kwa Man City kuibuka na ushindi wa goli 2-0.
Manchester+City+v+Queens+Park+Rangers+Premier+8OYF0BHNEMll
Kinachovutia wengi katika hii video ni jinsi nahodha huyo wa Man City anavyocheza na mtoto wake, kwani amezoeleka mara nyingi kuwa serious, ila hii michezo ya kumchezea faulo binti yake inaweza ikaja kumtoa meno. Hii ni video ya tukio la nyuma ila imeonekana mitandao hivi karibuni.
Hii ni video mtu wangu ya Kompany akimkata mtama Sienna.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI