Monday, September 7, 2015

USHAHIDI WA TATTOO KUBWA YA SIMBA KWENYE KIFUA CHA MSANII ED SHEERAN *PICHAZ*

Tattoo ya Ed Sheeran ya simba mkubwa kwenye kifua chake imekuwa stori kubwa kwenye mitandao tofauti na hakukuwa na ushaidi wowote kuwa msanii huyu ana tattoo kama hiyo.

Ed amemaliza uvumi huu kwa kuweka picha akiwa kifua wazo na kuonyesha watu kuwa tattoo hio ni kweli ipo kwenye kifua chake ingawa bado haijulikana kwanini alichora tattoo hio na inamaana gani.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI