Monday, September 7, 2015

CHEKI NA UPAKUE VIDEO MPYA YA NURU THE LIGHT - ‘L’

Nuru The Light ni moja ya mastaa ambao wana nafasi zao kutambulika kwenye muziki wa Bongo Fleva, kuna kipindi kirefu hajasikika… haikumaanisha kauacha muziki.
Nuru anarudi tena, muziki una mchakamchaka sasahivi, ataweza kushika?? kaachia video ya ngoma yake mpya ambayo kaipa jina la ‘L’ .
Milango imefunguka sana mastaa wa Bongo kufanya Video zao nje ya TZ sanasana South Africa… Nuru hajavuka huko, kaiamini kazi ya Director Adam Juma wa Visual Lab Tanzania, Video hii yote imekamilika kwenye mikono yake !
Karibu mtu wa nguvu, kitu kipyakipya cha Nuru the Light hiki hapa, ukiplay unaicheki yote kwenye dakika zake tatu tu.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI