Monday, November 3, 2014

CIARA ALIVYOSHEHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA, BILA BABY FATHER WAKE 'FUTURE' *PICHAZ*

WEEKEND hii Ciara amefikisha miaka 29 na amesheherekea siku yake ya kuzaliwa na rafiki yake kipenzi La La huko mjini New York.
Ciara na Lala walitoka na watoto wao, ambapo Rapper Future ambaye ni baba wa mtoto wake hakuwepo.








0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI