RAIA huyo wa Nigeria amesema amevujisha picha hizo kwakuwa alichoshwa na tabia za uchepukaji za muimbaji huyo maarufu ambaye anashutumiwa kutembea na wanaume kibao.
Tayari mrembo huyo amejiondoa kwenye Facebook.
Jina la Desire Luzinda limetrend kwenye mtandao wa Twitter kutokana na picha hizo huku watu wakiigiza pozi la kwenye picha hiyo.
0 comments:
Post a Comment