Saturday, August 16, 2014

YACHEKI MAKAMUZI YA SHILOLE ALIYOYAFANYA NDANI YA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014

Mwanadada mwigizaji na mwanamuziki Zuwena Mohamed 'Shilole' akicheza kwa kujiachia katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014.
Zuwena Mohamed 'Shilole' akiongea na mashabiki wake.
Wacheza show wa msanii Shishi Baby wakifanya yao.
Shishi Baby akifanya makamuzi. 
Shishi Baby akiagana na Mashabiki wake baada ya kufanya makamuzi ya ukweli katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI