Wednesday, November 5, 2014

WANAUME WALIOONJA MAUMIVU ANAYOYAPATA MWANAMKE WAKATI WA KUJIFUNGUA WASIMULIA *PICHAZ*

NI kati ya matukio ya ajabu na kutisha, lakini tumeendelea kusikia kuhusu matukio ya wanaume mbalimbali wakifanya operation za kubadili maumbile ya jinsia zao, hii ya leo kutoka China inahusu wanaume ambao waliamua kujitolea kufanyiwa majaribio ya kufungwa vifaa ambavyo vitawafanya wapate maumivu ambayo huwa anayapata mama mjamzito wakati wa kujifungua.
Hizi ni baadhi ya picha za jamaa hao wakiwa katika zoezi hilo katika jimbo la Shandong, China.


0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI