Friday, October 17, 2014

MAAJABU YA DUNIA: ANGALIA PICHA ZA MELI KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI, INABEBA ZAIDI YA WATU ELFU TISA

NI MELI kubwa kuliko zote katika historia ya kutengenezwa duniani iitwayo Oasis of the seas, yenye uzito wa tani 225,282 na urefu wa futi 1,187 na upana wa futi 208.
Cheki picha hizi nawe utakubaliana na mimi kuwa hapa Titanic haioni ndani hata kidogo.



Watu wakiishuhudia Meli hiyo iitwayo Oasis of the Seas.

Katika Meli hiyo kunasehemu ya juu ya Kusurf.
Meli hiyo ikiwasili

Ndani ya Meli hiyo ni kama kuingia Mlimani City vile...!


Meli ikiwasili
Meli hiyo ikiwasili bandarini kwa mara ya kwanza.

Humo ndani kuna Garden kubwa tu, mnapiga story na mnaweza hata kusahau kama mpo kwenye Meli.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI