Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana, Jumamosi, Mei 23, 2015 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Seif Shariff Hamad ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Ikulu Ndogo, Dodoma.Picha Juu Rais Kikwete akimwaga Mheshimiwa Hamad baada ya kumalizika kwa kikao hicho.Picha na Freddy Maro-IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
1. NISHA JABU 2. FLAVIANA MATATA 3. NELLY KAMWELU 4. JOKATE MWEGELO 5. NANCY SUMBELARI 6. BELINA MGENI 7. VANESSA M...
-
Mjumbe kutoka Kamati namba nne ya Bunge Maalum la Katiba Tundu Lissu akiwasilisha maoni ya wachache Kamati hiyo kwenye kikao cha Bunge l...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Kikwete ametoa namba yake maalumu kwa wananchi waweze kumtumia ujumbe wa SMS ...
-
Msururu Mkubwa wa Magari barabara ya Chalinze Mlanzidi Eneo la Ruvu Darajani,Hali hii anatokana na Mvua Zinazozidi Kunyesha hali iliyop...
-
Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kabla ya Bunge kukaa na kupiga kura kuamua Bajeti ya serikali kwa Mwaka 2014-01...






0 comments:
Post a Comment