Mtoto huyu ambae alizaliwa katika hospatali ya sadon miaka 3 iliyopita ameendelea kushangaza wakazi wa Nigeria kwa kuota maziwa kama mtu mzima ambapo kila siku yanazidi kuwa makubwa madkatari nchini huko bado hawajatoa taarifa rasmi juu ya tatizo la mtoto huyo…
Picha hii inasemekana ilipigwa katika kijiji cha Plateau State huko Nigeria.
Mtoto huyu amezibwa macho na matiti yake kumlinda katika mitandao.
Matiti ya watoto mara nyingi huanza katika umri wa miaka 8 lakini kwa mtoto huyu hali imekuwa tofauti kidogo kwani yameanza kumtoka katika umri huu wa miaka 3. Ni ajabu lakini mambo kama haya hutokea.
Chanzo: NaijaGists
0 comments:
Post a Comment