Saturday, October 11, 2014

YAWEZAKUWA NDIO PICHA ZA AJABU ALIZOWAHI KUPIGA RICH MAVOKO #UTENGENEZWAJI WA VIDEO MPYA’TOTO TUNDU’ *PICHAZ*

rich 1
BAADA ya video yake ya ‘Pacha Wangu’ kutoka na kufanya vizuri hasa ikiwa na muonekano mzuri na mandhari ya kuvutia, sasa msanii huyu machachari anakuja na video nyingine ambayo amefanya tena na Adam Juma.
Video hii anayoiandaa kwa sasa itaitwa Toto Tundu ambapo katika video hii ameigiza kama Kichaa.
Hayo yanadhihirishwa na muonekano wake katika picha hizi.
rich 2rich 3

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI