MSANII ambaye chimbuko lake ni Tanzania ila hufanyia kazi zake nyingi Kenya ametoa wimbo wenye jina sawa na Wimbo wa Diamond Platnumz ‘Mdogo Mdogo’.
Kitendo hichi kimetafsiriwa mwanzo wa beef kati ya hawa wasanii wawili.
Hii ndio kazi yenyewe, just bofya play kuisikiliza.
0 comments:
Post a Comment