KAMPUNI inayohusika na utengenezaji wa buti hii inasema kuwa hii ni imited edition collection, Timberland wametoa Super Boot
ambayo toleo lake la kwanza lilikuwa mwaka 1979 kupitiaHazel Highway
collection.
Tofauti ni kuwa kiatu hichi sasa kimetengenezwa kwa ngozi
nzito na ngumu zaidi.
Timberland imeshirikiana na KnowUsena Street
Etiquette kukuletea buti hili ambalo liligunduliwa miaka 35 iliyopita.
0 comments:
Post a Comment