Friday, October 10, 2014

WAFAHAMU WASANII WENYE TAMADUNI YA KUVAA KOFIA YA AINA MOJA TU, SCHOOLBOY Q, JAY-Z *+PICHAZ*

Run DMC
Run DMC

TOKA miaka ya 80 wasanii wemakuwa na kofia tofauti zinazo watofautisha na wasanii wengine, LL Cool J ,Run D.M.Cwaligundua kofia aina ya bucket hat ambayo kwa sasa anavaa sana Schoolboy Q. Hizi Picha za wasanii wengine wenye tamaduni ya kuvaa kofia ya aina moja
Huweza kusahau Kofia ya T Pain.
Hutaweza kuisahau Kofia hii ya T-Pain.
Jay Z na kofi zake za New York
Jay Z na kofi zake za New York
Ll Cool J
Ll Cool J
Msanii mpya asiyechana nywele School Boy Q
Msanii mpya asiyechana nywele School Boy Q
Notorious B.I.G

Notorious B.I.G
Pharrell Williams Na Kofia Yake Ya Iliyofanya Vizuri Baada ya wimbo Happy
Pharrell Williams Na Kofia Yake Iliyofanya Vizuri Baada ya wimbo wa Happy
Picha nyingi za Andre 3000 utamkuta amevaa hizi kofia
Picha nyingi za Andre 3000 utamkuta amevaa hizi kofia.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI