Saturday, October 11, 2014

KINANA, NAPE WASHIRIKI UCHUMAJI WA MAJANI YA CHAI MUFINDI, IRINGA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia0 na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakichuma majani ya chai katika shamba la Unilver, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2010, kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi katika Jimbo la Mufindi Kusini, mkoani Iringa. 
(Picha na Richard Mwaikenda wa Kamanda wa Matukio blog)
 Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu (katikati) wakisaidia kuchuma majani ya chai katika shamba hilo la Unilve akiwa na viongozi wengine wa chama hicho 
 Kinana akijumuika na wananchi kucheza wimbo wa Ilani ya Chama ya Bendi ya CCM Mufindi, wakati wa mkutano huo.
 Kinana akisaidia kumwagilia maji miche ya miti alipokwenda kukagua bustani ya Vijana mjini, Kigamboni mjini Mafinga
 Mfuasi wa CCM, Keneth Mwangosi, akiwa mbele ya gari lake  alilolifanyia ukarabati na mbele yake kuandika jina la Kinana
 Kinana akikagua maendeleo ya ujenzi wa Zahanati ya Nyololo, Kata ya Igowole
 Kinana akiwasalimia wananchi alipokuwasili kwenye mkutano huo.
 Sehemu ya umati wa watu katika mkutano huo ulihutubiwa na Kinana katika mji wa Nyololo, Mufindi.
 Wananchi wakishangilia kuonesha wanamkubali Kinana na Nape
 Ni furaha tele, iliyojaa nderemo na vifijo baada ya kumuana Kinana
 Wananchi wakiitikia CCM Oyeeeeeeee
 Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo wa hadhara ambapo alisema kuwa kitendo cha Katibu iliyopendekezwa kupita katika Bunge Maalum la Katiba, ni kifo cha vyama vya upinzani.
 Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, akihutubia na kuelezea kuhusu miradi mbalimbali inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2010.
 Vijana wa Green Guard wa CCM wakishangilia baada ya kunogewa na hotuba ya Kinana wakati wa mkutano huo wa hadhara.
 Bendi ya CCM Mufinndi, wakionesha umahiri wao wa kuimba wimbo wa Ilani ya  CCM mbele ya Kinana.
 Kinana akicheza na wananchi wimbo wa Ilani ya CCM baada ya mkutano kumalizika
 Nape na Katibu wa CCM, Mufindi, Mtaturu waiwa na furaha walipokuwa wakicheza wimbo huo
Kinana na Nape wakiangalia CD yenye nyimbo za bendi ya CCM

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI