Mkurugenzi wa Kampuni ya HUAWEI Tanzania,Vicent Wen akitoa mada katika mkutano wa Kimataifa wa Teknolojia ya Mawasiliano kuhusiana na kampuni yake kwa kuleta maboresho ya mawasiliano ya simu hapa nchini ambapo wananchi wa vijijini na mjini wanaendelea kunufaika na huduma ya kampuni hiyo kwa bei nafuu za simu.Mkutano huo ulifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Kimataifa wa Teknolojia ya Mawasiliano wakifatilia mada iliyokuwa ikitolewa na Mkurugenzi wa Kampuni ya HUAWEI Tanzania,Vicent Wen(hayupo pichani)Kampuni hiyo inashirikiana na serikali katika kuboresha huduma za mawasiliano kwa wananchi wa vijijini na mjini kwa bei nafuu zaidi.
Mkurugenzi wa Kampuni ya HUAWEI Tanzania,Vicent Wen akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wa Kimataifa wa Teknolojia ya Mawasiliano kuhusiana na kampuni hiyo kwa kuleta maboresho ya mawasiliano ya simu hapa nchini ambapo wananchi wa vijijini na mjini wanaendelea kunufaika na huduma za kampuni hiyo kwa bei nafuu.
Mkutano huo ulifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment