TAREHE 25.09.2014 Filamu kali na yenye kusisimua "MIKONO SALAMA" Itaingia kwenye Soko la Filamu za kitanzania na kuanza kuuzwa.
Sio Filamu ya kukosa kabisa kwani Humo ndani kuna waigizaji mashuhuri na Magwiji ambao wameshirikia na Mastar kutoka pande zingine.
Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti ameshiriki ndani ya Filamu hii akiwa na
Gwiji Jacob Steven (JB), pia kuna kipande ambacho amecheza Marehemu Adamu Kuambiana humu ndani,pia Kuna wasanii wengine kama Irene Uwoya na Single Ntambalike.
Kaa Tayari kuona Filamu nzuri na yakitanzania.
0 comments:
Post a Comment