Tuesday, September 23, 2014

MATUKIO KATIKA PICHA: HARUSI YA PRODYUZA MAN WALTER *PICHAZ*

PRODUCER Man Maji Man Water ambaye jina lake kamili ni John Vomo Shariza Siku ya Jumamosi tarehe 21 Septemba 2014 katika kanisa la KLPT Kigamboni jijini Dar es salaam alifunga ndoa na mke wake anayejulikana kwa jina Matilda Jimmy Igoti katika ukumbi wa Karimjee Hall jijini Dar es salaam, Zitazame picha za yaliyojiri katika hafla hiyo.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI