Saturday, August 16, 2014

MAZOEZI YA REDD'S MISS TEMEKE YAPAMBA MOTO

Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd's Miss Temeke, wakipozi wakati wa mazoezi  katika Klabu ya TCC, Chang'ombe, Dar es Salaam. Mashindano yatafanyika kwenye klabu hiyo, Agosti 22,mwaka huu.
Picha zote na mdau Khamis Mussa:
kamanda wa Matukio blog

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI