Saturday, August 16, 2014

ANGALIA PICHA 15 ZA SERENGETI FIESTA ILIVYOITEKA BUKOBA

 
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta, Bukoba.
 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta, Bukoba.
 
Rachel akiendelea kutoa burudani.
 
DJ Fetty akifanya yake.
  
Msanii wa muziki wa asili Saida Karoli akiwanyanyua mashabiki wake.
 
Mtoto wa Saida Kaloli akicheza ngoma.
 
Staa wa Bongo Fleva, Jux akiimba wimbo wake mpya wa Nitasubiri.
 
Dogo anayekimbiza kwenye muziki wa Hip Hop Bongo, Young Killer akiwaimbisha mashabiki.
Msanii wa Super Nyota 2013, Kessy Style akishambulia jukwaa.
 
Staa aliyetambulika zaidi kwa wimbo wake wa Maumivu, Khadija akiangusha shoo yake.
 
Rais wa Manzese, Madee akikaporomosha mashairi ya ngoma yake mpya ya Ni Sheedah.
 
Mkali wa ngoma ya Muziki Gani, Nay wa Mitego akiwasikilizia mashabiki wanavyoitikia nyimbo zake.
 
Staa wa Hip Hop, Stamina akifanya yake jukwaani.
 
Msanii wa Bukoba, Shomile naye alipata bahati ya kuamsha amsha burudani.
 
Jackson Mmbando akiwa katika pozi na Madee (kushoto).
(Picha na Musa Mateja: GP,Bukoba)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI