Kakakuona akitembea.
Mama Mwita akimshika Kakakuona baada ya kuingia nyumbani kwake.
Mnyama Kakakuona akiwa kawekewa shilingi mia tano kwenye magamba yake.
Msanii wa maigizo Alisante Filiph, akimshika Kakakuona.
Watu wakiingia katika duka la Mama Mwita kumtazama mnyama huyo.
Duka alilotunziwa Kakakuona baada ya kuonekana.

WAKAZI wa Mbezi juu wamefurika kumuona mmyama Kakakuona ambaye ni adimu sana kuonekana, huku wengine wakiamini wamepata bahati katika maisha yao kumuona kiumbe huyo, ana kwa ana baada ya kumsikia na kumsoma katika vitabu.
0 comments:
Post a Comment