MREMBO na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli.
Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na jarida maarufu la burudani la VIBE.
Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lake, “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya.
0 comments:
Post a Comment