Saturday, August 16, 2014

WALEMAVU WA NGOZI WALAANI UKATILI DHIDI YAO

Viongozi wa vyama vya watu wenye ulemevu wakiwa meza kuu.
Waandishi wa habari wakiwa na walemavu wa ngozi 'Albino'.
Wanahabari wakichukua taarifa za tamko la vyama vya walemavu nchini.
Picha inayoonesha sehemu mbalimbali za dunia zenye walemavu wa ngozi 'Albino'.
Katibu Mkuu Chama cha Walemavu, Ziada Nsembo akizungumza jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).
 
Katarasi ya tamko la watu wenye ulemavu wa ngozi kwa umma.
WATU wenye ulemavu wa ngozi ‘albino’ na taasisi mbalimbali nchini zenye kutetea walemavu zimelaani vikali kuendelea kwa matukio ya mauaji kwa walemavu hao.
Vyama na taasisi hizo wamefanya kikao jana na wanahabari katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam na kuzungumzia mambo kadhaa yanayowahusu wao.

Na Gabriel Ng’osha/GPL

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI