KAMA wengi Mjuavyo Kuwa Mrembo wa Bongo Jack Cliff alikamatwa China Mji wa Macau kwa Tuhuma za Kubeba Madawa ya Kulevya, Sasa mpya kutoka huko zinasema Kesi ya mrembo huyo imesomwa na Amehukumiwa Kifungo cha Miezi Sita Gerezani.
Chanzo cha habari hiyo hakijatoa maelezo ya kutosha kwanini iwe miezi sita tu na wakati huwa tunasikia kuwa huko adhabu kwa makosa kama hayo ni kali sana na hufikia hata kunyongwa….!Saturday, August 16, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
KEYSHIA Cole ambaye hivi karibuni amepigana chini na mume wake Daniel Gibson 'Boobie', mwishoni mwa wiki jana a...
-
TMZ wameripoti kuwa model Amber Rose ameomba talaka kutoka kwa mume wake ambaye wameishi pamoja kwa muda wa mwaka moja. Amber anas...
-
Muda mfupi baada ya Nicki Minaj kutangaza kupitia Twitter kuwa ameachana na Meek Mill, rapper huyo amemchana demu wake huyo wa zamani kw...
-
Martin Kadinda wakati akiwa na Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’. Na Mayasa Mariwata IMEKAA POA SANA! Ubuyu kutoka Ho...
-
Baloteli akiwa na baadhi ya wachezaji wenzake wa Liverpool wakionekana kufurahia jambo.






0 comments:
Post a Comment