Saturday, August 16, 2014

MADADA POA *MACHANGUDOA* WALIA KUKOSA SOKO… KISA EBOLA…! SOMA HAPA

KIKUNDI kijulikanacho kama Association of Nigerian Prostitutes, ANP, kimetoa tamko kuwatahadhalisha wanachama wake ambao ni machangudoa nchini humo kuwa wajihadhari na EBOLA hivyo basi wasijihusishe na kazi hiyo kwa muda….
wakati tamko hilo linatolewa  na viongozi wao baada ya kikao chao....huku mitaani madada poa wanalia kutokanana na kile wanachodai kuwa wateja wamekuwa hadimu sana..na hivyo kupelekea maisha yao kuwa magumu....Kazi ipo
#EBOLA NI HATARI

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI