Friday, June 6, 2014

WANAFUNZI WA CHUO CHA USAFIRISHAJI CHA NIT WAFANYA VURUGU MCHANA HUU

 Gari la Polisi likiwa limefika eneo la Tukio kwa ajili ya usalama chuoni hapo,wanafunzi hao wanashinikiza kupewa pesa zao za mikopo
 Mmoja wa Mawaziri wa Serikali ya Wanafunzi akizungumza jambo
 Polisi wakiwa wakiwa wanaimarisha ulinzi
 Wanafunzi wakiwa wanapiga Makelele kushinikiza Kulipwa pesa zao
 Usalama umeimarishwa..
Picha: TZ Wanavyuo

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI