Saturday, June 7, 2014

REDDS MISS IRINGA KUFANYIKA JUNI 20 ,KITUO CHA RADIO CHA NURU FM CHAKABIDHIWA MIKOBA YA KUANDAA

Miss Redds Iringa 2013 Neema Mality

Onyesho la Redds Miss Iringa 2014 sasa  kufanyika Juni 20 katika ukumbi wa St Dominic mjini hapa kwa  kiingilio cha Tsh 10,000
Onyesho  hilo  litasindikizwa na burudani ya  kufa mtu  kutoka kwa  msanii Mo Music anayetamba kwa  wimbo  ngoma yake Basi Nenda, hakunaga  kama Redd Miss Iringa ni  zaidi ya maonyesho kama hayo  uliyopata  kuyashuhudia  kwani  warembo  wake ni bomba mbaya kutoka vyuo vikuu  vyote vya Iringa na warembo wenye mvuto kutoka mkoa wa Iringa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI