Saturday, April 5, 2014

KAMPENI ZA LALA SALAMA ZA CCM JIMBO LA CHALINZE, ZAZIDI KUTIA FORA

Kaimu Katibu Mkuu wa CCM,Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa Mkutano wa Kampeniza lala salama zilizofanyika April 4,2014,katika Uwanja wa Shule ya Msingi Pera,iliyopo kwenye Kata ya Pera,Chalinze.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kata ya Pera,pamoja na kunadi sera zake  April 4,2014.
Kaimu Katibu Mkuu wa CCM,Mwigulu Nchemba akitema cheche zake wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze, April 4,2014.
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi CCM,Nape Nnauye akiweka sawa taratibu za Mkutano wa Kampeni za CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze, April 4,2014.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM), Ridhiwani Jakaya Kikwete akinadiwa kwa wananchi wa Chalinze na Mkewe, Arafa Kikwete.
























































































0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI