Gari lililokuwa limetegwa bomu |
Mlipuko uliotegwa kwenye gari imesababisa vifo vya watu 27 kuuwwa na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa ambao umetokea katika mji wa taji mashariki mwa Baghdad huku shambulio hilo likitajwa kumuhusu kijana mmoja ambaye alihudhuria siku ya jeshi katika nchi hiyo.
Baadhi ya watu wakiwatizama wenzao waliokumbwa na mlipuko huo |
Shambulio hilo ni la pili kutokea katika mji wa Taji baada ya masaa 24 toka jumatatu ulipotokea mlipuko mwingine, ambapo mashumbilio kadhaa yamekuwa yakitokea kutokana na baadhi ya vikundi ambavyo vinamahusiano na alquaida kupinga utawala wa raisi wa Iraq Jalal Talabani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka nchini humo.
0 comments:
Post a Comment