Monday, November 7, 2016

AFRIMA AWARDS: DIAMOND PLATNUMZ ANYAKUA TUZO TATU *PICHAZ&VIDEO*

Diamond akishukuru baada ya kushinda tuzo ya tatu kwenye Afrima
DIAMOND PLATNUMZ ameibuka na ushindi wa nguvu kwenye tuzo za Afrima 2016 zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria. Muimbaji huyo ameshinda tuzo tatu, Song of The Year – Utanipenda, Best Artist/Duo/Song Of The Year Utanipenda na Best Male Artist in Eastern Africa.
Pamoja na ushindi huo, Diamond pia alitumbuiza wimbo alioimba na Papa Wemba, msanii aliyetunukiwa tuzo ya heshima.
Wasanii wengine waliotumbuiza ni pamoja na Patoranking, P-Square, Falz, Eddy Kenzo, Avril, Simi, Darey, Phyno, Seyi Shay na wengine.
Chini ni orodha ya washindi kwenye tuzo hizo pamoja na picha za ndani ya ukumbi na red carpet:
Artist of the Year 

Wizkid
Song of The Year

Utanipenda – Diamond
Album of the Year

Ahmed Soultan
Revelation of the year

Falz
Video of the Year

Dogo Yaro – Vvip

Best African Collaboration
Eddy Kenzo ft Niniola – Mbilo Mbilo (Remix)

Best African Group
VVip


Best African Jazz

Jimmy Dludlu
Best Artist/Duo/Song Of The Year 

Diamond – Utanipenda
Best Artist/Duo/Group in African Rock

Mvula
Best Artist/Duo/Group African Ragga & Dancehall

Patoranking
Best Artist/Duo/Group African RnB

Henok and Mehari Brothers
Best Artist/Duo/Group African Hiphop

Stanley Enow
Favourites Award

Phyno
Song writer of the year
Unique Muziki – Uganda
Most Promising Artiste

AmineAub

Artiste/Dou/GroupBand in African Contemporary

Flavour
Best female Artiste in Inspirational music

Naomi Achu
Best Male Artiste Western Africa

Flavour
Best female artiste Western Africa

Aramide

Best male artiste Northern Africa
Dj Van

Best male artiste S/Africa
BlackCoffee
Best female artiste S/Africa
Bruna Tatiana
Best Male Artiste Eastern Africa

Diamond Platnumz
Best Female Eastern Africa
Cindy Sanyu

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI