Tuesday, September 8, 2015

RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA AFRIKA MASHARIKI *PICHA*

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika Mashariki kutoka katika taasisi ya East Africa Book of Records yenye makao yake makuu jijini Kampala Uganda.
Pichani kiongozi wa Taasisi hiyo Dkt.Paul Bamutize akimkabidhi Rais Kikwete tuzo hiyo wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam Septemba 9, 2015 . asubuhi.
Sambamba na Tuzo hiyo Rais kikwete amepokea tuzo ya kuitambua Tanzania kama taifa bora Afrika Mashariki kwa kudumisha Amani na Utulivu, Huduma bora za jamii,na maendeleo makubwa ya kiuchumi katika kipindi cha miaka kumi.
#Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI