Sunday, June 22, 2014

MSANII MAARUFU WA BONGO MOVIES AUZA MIHOGO BAADA YA MAISHA KUWA MAGUMU *PICHAZ*

Hapa msanii huyu Batuli akimhudumia mteja wake
Akiendelea na ukaangaji wa mihogo bila wasiwasi, Yaani baridaaaah!
haya mama endelea kutuandalia ili tushibe tulijenge taifa letu linalokua kwa kasi Tanzania!
Batuli ambaye ni Star wa filamu nchini mwenye mvuto wa aina yake Yobnesh Yusuph "Batuli" ameamua kuuza mihogo ili kujikimu kimaisha baada ya hali kuwa ngumu. 
Hayo yameajiri katika filamu mpya ya Uncle Kiepe ambapo amecheza na Patcho Mwamba na Philemon Lutwaza.
Usikose ladha kama hizi za Bongo!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI