Sunday, June 22, 2014

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAGEREZA NCHINI YAFANA CHUO CHA UKONGA DAR!

Askari akipiga nyundo tofali lililokuwa katika kichwa cha askari shupavu wa magereza.
Askari akiwa kabeba tofali linalovunjwa kwa nyundo huku chini kukiwa na kisu.image_2
papii kocha wakitumbuiza katika sherehe hizo
Hawa ni askari wa kike, wataalamu wa mchezo wa judo.
Kamishna Jenerali wa Magereza, John Minja akiwa na mgeni rasmi Mhe.Chikawe
Mmoja wa askari wa kikosi cha magereza akionyesha ukomavu kwa kuvunjiwa tofali mgongoni.
Askari shupavu akiruka juu na kuvunja ubao.
Kikosi maalumu cha judo katika kitengo cha magereza wakionyesha mambo yao.
Igizo la wafungwa wanapodhibitiwa na askari baada ya kuleta fujo gerezani.
ASKARI magereza jana walisherekea siku ya magereza katika chuo cha Ukonga Dar. Maadhimisho hayo yalisindikiza na burudani mbalimbali ikiwemo gwaride la askari, michezo ya judo na muziki.
Lengo la maadhimisho hayo ni kuielimsha jamii kuwa gerezani si eneo la mateso bali kujirekebisha na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo ufundi, kilimo, ufugaji na fani nyinginezo .
Katika maadhimisho hayo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Mathias Chikawe ambapo katika hutuba yake aliahidi kupeleka ombi la msamaha wa wafungwa kwa Rais Jakaya Kikwete kama walivyoomba wafungwa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI