Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana, Jumamosi, Mei 23, 2015 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Seif Shariff Hamad ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Ikulu Ndogo, Dodoma.Picha Juu Rais Kikwete akimwaga Mheshimiwa Hamad baada ya kumalizika kwa kikao hicho.Picha na Freddy Maro-IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Pichani: Mike Sonko na Rachel Shebesh HIZI ni baadhi ya picha za Sonko na Shebesh. Mike Sonko alisema zilitengenezwa nakundi la...
-
KUPENDEZA ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza se...
-
Matija Nastasic (Manchester City and Serbia) Gareth Bale (Wales and Real Madrid) Daniel Agger (Liverpool and Denmark) Zlatan Ib...
-
RECHO: Hapa ndipo yalipoanza kuandaliwa na kuzikwa kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda...
-
Uwanja wa ndege wa Singapore Changi ulitajwa kuwa ni Uwanja wa ndege bora kwa mara ya pili katika orodha ya viwanja vya ndege bora duni...
0 comments:
Post a Comment