Wabunge wa upinzani wakiondoka bungeni Dodoma jana usiku baada ya kikao cha Bunge hilo kuvunjika.
Picha na Emmanuel Herman **************Dar/Dodoma. Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana usiku kilivunjika baada ya vurugu kutawala ukumbini humo. Vurugu
hizo zilianza saa 04:42 usiku hadi saa 04:49 usiku wakati Spika Anne
Makinda alipolazimika kuahirisha Bunge hadi leo saa tatu asubuhi. Chanzo
cha vurugu ni kutokana na ugumu...
NYUMBANI KITAIFA
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BIASHARA
Ulimwengu wa habari.
MATAIFA MENGINE
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BURUDANI
Ulimwengu wa habari.
MAAJABU DUNIANI
Ulimwengu wa habari.
Friday, November 28, 2014
MPASUKO : ESCROW WABUNGE WAGAWANYIKA
9:20 AM
No comments

Mbunge wa Viti Maalumu, Mariam Msangi (katikati) akiwasihi Mbunge wa Kasulu Mjini, Moses Machali (kushoto) na Mbunge wa Nkasi, Ali Kessy wasigombane kwenye Viwanja vya Bunge, mjini Dodoma jana.
(Picha na Emmanuel Herman)Dodoma. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo jana alipangua hoja zilizotolewa na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), kuhusu ufisadi uliofanyika katika Akaunti ya Tegeta Escrow na kuacha wananchi njia...
RAIS KIKWETE AMTUMIA MKUU WA MKOA WA TANGA SALAMU ZA RAMBIRAMBI
9:18 AM
No comments
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mheshimiwa Rajabu Rutengwe kuomboleza vifo vya watu 11 ambapo wengine kadhaa walijeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 27 Novemba, 2014.
Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Mkanyageni Mkoani Tanga baada ya basi dogo aina ya Toyota Coaster Na. T 410 BJD iliyokuwa ikitoka Tanga Mjini kuelekea Lushoto...
HATIMAYE LADY JAY DEE AKIRI KUMUACHA MUMEWE GADNER HABASH - MSIKILIZE HAPA *AUDIO*
9:15 AM
No comments

Hatimaye Lady Jaydee amethibitisha kwa kauli yake mwenyewe kuwa ndoa yake na mtangazaji mkongwe wa redio, Gadner G Habash imevunjika.
Akiongea leo kwenye Exclusive Friday ya kipindi cha Sunrise cha Times FM, Jaydee amesema ni yeye ndiye aliyeamuacha Gadner.
Kwenye mahojiano hayo, Jide alizungumzia kuwa kwenye uhusiano na mtu aliyekuwa akimpiga mara kwa mara licha ya kutomtaja moja kwa moja kuwa ni Gadner lakini alisema alikuwa akiteswa.
Kabla...
SHEIKH PONDA ASHINDA RUFAA YAKE *PICHAZ*
9:09 AM
No comments
Wafuasi wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo huku wakipaza sauti baada Sheikh Ponda kushinda rufaa ya kupinga hukumu ilitolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kuvamia na kujimilikisha kwa nguvu kiwanja cha Markaz Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Hukumu hiyo ilitolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi Victoria...
MAJANGA: MABOMU YARINDIMA NIGERIA, WATU 25 WAFARIKI WAKIWAMO ASKARI!
6:20 AM
No comments

TAHARUKI ya mabomuWatu wapatao ishirini na watano wamekufa kufuatia shambulio la bomu katika jimbo la Adamawa Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.Imetaarifiwa kwamba wote waliouawa katika shambulio hilo ni raia na askari watano.
Tukio hilo limetokea karibu na mji wa Mubi ambao mwezi huu ulikuwa ukishikiliwa na vikosi vya serikali ya nchi hiyo baada ya kuukomboa kutoka katika himaya ya wanamgambo wa kikundi cha kiislam cha Boko Haram.
Kuna matukio...
MCHEZAJI WA CRICKET TOKA AUSTRALIA PHILLIP HUGHES AFARIKI DUNIA..! SOMA CHANZO!
1:49 AM
No comments

MCHEZAJI wa cricket kutoka australia Phillip Hughes afariki duniana baada ya kupigwa shingoni na mpira wa mchezo huo na kusabibishwa kutokwa na damu nyingi kichwani ilio sababisha kifo chake.
Hughes alikua akijiandaa kupiga mpira uliorushwa na timu pinzani kati ya mechi ya South Wales na South Australia siku ya jumanne baada ya mpira huo kumpiga upande wa kushoto wa shingo yake.
Phillip mwenye umbri wa miaka 25 anaechezea timu ya...
FAHAMU JINSI WATANZANIA WANAVYOUMIZWA NA UFANYAJI MAPENZI KWA NJIA MDOMO
1:42 AM
No comments

MKURUGENZI wa Idara ya Kinga kutoka taasisi ya Saratani Ocean road Julius Shija amewataka watanzania waache tabia ya kuiga mambo yasiyo ya msingi kama kufanya mapenzi kwa njia ya mdomo tendo ambalo amelitaja kuwa linaweza kusababisha kansa ya koo.
Shija alisema kwamba hali katika kipindi cha hivi karibuni imebadilika kulinganisha na kipindi cha miaka ya tisini ambapo walikuwa wanapokea wagonjwa 200 hadi 300 tofauti na kipindi cha sasa ambacho...
MBUNGE WA KIGOMA DAVID KAFULILA AAGA UKAPERA NA KUOA, MBUNGE WA NJOMBE DEO FILIKUNJOMBE AWA MPAMBE *PICHAZ*
1:27 AM
No comments

MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), ameaga ukapera baada ya kufunga ndoa na Jessica Kishoa katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Uvinza, huku akisindikizwa na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), aliyekuwa mpambe.
Akizungumza katika harusi hiyo jana, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto alimpongeza Kafulila kwa kukamilisha ndoa yake na mwenza wake na kumuomba mke wa Kafulila, kuwa mvumilivu katika kipindi hiki kwani hawatakuwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Matija Nastasic (Manchester City and Serbia) Gareth Bale (Wales and Real Madrid) Daniel Agger (Liverpool and Denmark) Zlatan Ib...
-
Pichani: Mike Sonko na Rachel Shebesh HIZI ni baadhi ya picha za Sonko na Shebesh. Mike Sonko alisema zilitengenezwa nakundi la...
-
KUPENDEZA ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza se...
-
RECHO: Hapa ndipo yalipoanza kuandaliwa na kuzikwa kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda...
-
Kocha mpya wa klabu ya Yanga Marcio Maximo. Aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya hapa nchini Maxio Maximo kutoka Brazil amepata fursa ...