WAPENDA USAWAAina ya pili inayohitajika katika katika ulimwengu wa kimapenzi niwanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio tayari kubeba majukumu yakifamilia kwa ulinganifu sawa na wanaume, wenye uwezo wa kuongoza jamiikwa asilimia 50 kwa 50
WANAOJUA MAPENZIWanawake wajuzi wa mambo ya faragha wanapendwa sana. Sifa yao kubwa niuwezo wa kuwatosheleza wenzi wao katika tendo la ndoa. Tafiti zinaonesha kuwa wanaume hupenda sana wanawake watundu katika...
NYUMBANI KITAIFA
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BIASHARA
Ulimwengu wa habari.
MATAIFA MENGINE
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BURUDANI
Ulimwengu wa habari.
MAAJABU DUNIANI
Ulimwengu wa habari.
Monday, May 25, 2015
SENTENSI TISA ZA NAPE NNAUYE KUHUSU ISHU YA MWIGULU NCHEMBA KUOMBA KUPUMZIKA NAFASI YAKE CCM!!
9:59 AM
No comments
Naibu Waziri wa Fedha, Lameck Mwigulu Nchemba jana jina lake liliingia kwenye headlines baada ya kutangaza kujivua kwenye nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara.. hiyo ishu ilichukua nafasi kubwa sana kwenye mitandao ya kijamii kuanzia siku ya jana May 24 2015, leo anayeingia kwenye headlines ni Nape Nnauye, Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM amezungumzia kuhusu ishu ya Mwigulu Nchemba alivyojitoa kwenye nafasi...
ORODHA MPYA YA WANAMUZIKI MATAJIRI AFRIKA! JE, DIAMOND PLATINUMZ KAINGIA?! TAZAMA HAPA!!! *PICHAZ*
9:57 AM
No comments
Diamond Platinumz, msanii inayesemekana ndiye mwenye pesa nyingi zaidi Tanzania kwa sasa lakini vipi kwa Afrika kaingia katika top 10?! Tazama list hiyo kamili hapa chini... Africa is blessed with beautiful landmarks and unique geographical composition apart from that Africa is blessed with
lots of talents from athletes to artists range from upcoming to legends,As presented by Capital Fm from Kenya below is the list of 10 most rich music artists...
UPUUZI ULIOFANYWA NA MSANII SHILOLE UBELGIJI, BARAZA LA SANAA TAIFA LAMTOLEA UVIVU KUKOMESHA TABIA ZA WASANII KUONYESHA UTUPU JUKWAANI
9:54 AM
No comments

Na Elizabeth Edward
Niwapongeze Baraza la Sanaa Taifa (Basata) kwa kuonyesha wazi kusimama kidete kulinda utamaduni wa Mtanzania na sanaa kwa ujumla.
Nikiwa kama mdau wa burudani kwa muda mrefu, nimekuwa nikishuhudia vitu vya ajabu kwenye sanaa ambavyo vinaonekana wazi kwenda kinyume na utamaduni wetu.
Uamuzi wa hivi karibuni wa Basata kuvunja ukimya kuhusiana na kuzagaa kwa picha za kudhalilisha za msanii Shilole umeibua...
BAADA YA KUMPONDA DIAMOND THE PLATNUMZ DESIGNER MKUBWA WA MAREKANI ABADILI MANENO YAKE NA KUMKUBALI DIAMOND THE PLATNUMZ
9:49 AM
No comments

Mbunifu wa mavazi toka Marekani anaeitwa Roper amelalamika sana kupitia Instagram kwamba Diamond kamuibia design yake...
Raper anayewavalisha wasanii wakubwa Marekani kama August Alsina, Future, Meek Mill nk ameandika hivi....
MSANII WA MUZIKI WA INJILI FROLA MBASHA AKIMBILIA CHADEMA!!! *PICHA*
9:46 AM
No comments
Msanii wa muziki wa Injili Frola mbasha.
MWIMBAJI maarufu wa nyimbo za injili nchini, Frola Mbasha ameijunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Tanganyika Packers mjini Dar es Salaam jana, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), alisema kuijunga kwa Mbasha katika chama hicho kutasaidia kuhamasisha wasanii wengine ambao wamekuwa wakitumiwa na Chama Chama Mapinduzi...
Sunday, May 24, 2015
DROGBA KUONDOKA CHELSEA
10:20 AM
No comments

Mshambuliaji wa Chelsea Didier Drogba anaihama klabu hiyo kwa mara ya pili.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 alisajiliwa na klabu hiyo mwaka 2004 na amefunga mabao 164 katika mechi 381.
Ningependa kucheza tena kwa msimu mmoja zaidi na kwa hilo kufanikiwa itabidi nihamie kilabu nyengine aliuambia mtandao wa Chelsea.
Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho alimsajili kwa mara ya pili Drogba kwa kandarasi ya mwaka mmoja baada ya kuondoka Galat...
RAIS JAKAYA KIKWETE AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR,SEIF SHARIFF HAMAD AMBAYE PIA NI KATIBU MKUU WA CHAMA CHA WANANCHI (CUF) KATIKA IKULU NDOGO, DODOMA.
10:11 AM
No comments
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana, Jumamosi, Mei 23, 2015 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Seif Shariff Hamad ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Ikulu Ndogo, Dodoma.Picha Juu Rais Kikwete akimwaga Mheshimiwa Hamad baada ya kumalizika kwa kikao hicho.Picha na Freddy Maro-IKU...
WASHUHUDIE MBOWE, GWAJIMA, PROFESA J, FLORA MBASHA NA CHADEMA WALIVYOITIKISA TANZANIA LEO *PICHAZ*
10:06 AM
No comments
Mwenyekiti wa chama cha democrasia na maendeleo chadema mh FREMAN MBOWE akizindua kikosi maalimu cha ulinzi katika jimbo la kawe maarufu kama RED BRIGDED ambao wamekuwa na kazi ya kulinda usalama wa viongozi wa chama chao.
****
Mwenyekiti wa chama cha chadema FREMAN MBOWE amesema kuwa endapo sheria ya kuvitaka vyombo vyote vya habari Tanzania kuonyesha Taarifa ya Habari moja kutoka shirika la utangazaji TBC itafikishwa bungeni basi bunge hilo...
Subscribe to:
Posts (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Matija Nastasic (Manchester City and Serbia) Gareth Bale (Wales and Real Madrid) Daniel Agger (Liverpool and Denmark) Zlatan Ib...
-
Pichani: Mike Sonko na Rachel Shebesh HIZI ni baadhi ya picha za Sonko na Shebesh. Mike Sonko alisema zilitengenezwa nakundi la...
-
KUPENDEZA ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza se...
-
RECHO: Hapa ndipo yalipoanza kuandaliwa na kuzikwa kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda...
-
Kocha mpya wa klabu ya Yanga Marcio Maximo. Aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya hapa nchini Maxio Maximo kutoka Brazil amepata fursa ...