Neymar
Baada ya kipigo cha goli 4 kwa bila kutoka kwa wapinzani wao Barcelona, habari za chini chini zilianza kusambaa kuwa Real Madrid inataka kuweka dau kwa staa wa Barcelona, Neymar.
Tetesi hizo zilidokeza kuwa rais wa Real Madrid, Florentino Perez alikuwa tayari kumuwekea mezani Neymar kitita cha Euro Milioni 190 ili kupata saini ya nyota huyo.
Baada ya tetesi hizo mtandao wa Espnfc umeripoti kuwa Neymar amesema hayupo tayari kujiunga...
NYUMBANI KITAIFA
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BIASHARA
Ulimwengu wa habari.
MATAIFA MENGINE
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BURUDANI
Ulimwengu wa habari.
MAAJABU DUNIANI
Ulimwengu wa habari.
Monday, November 30, 2015
UKAWA KUCHUKUA JIJI LA DAR
4:25 AM
No comments

Wafuasi wa vyama vinaonyounda Ukawa.
Kama wingi wa madiwani katika halmashauri ndicho kigezo cha chama kumpata meya, basi safari hii jiji la Dar es Salaam litakuwa chini ya mameya kutoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Manispaa ya Ilala ambayo kuna karibu ofisi zote za Serikali zikiwamo wizara na Ikulu itakuwa chini ya meya wa Ukawa kwa mara ya kwanza kama ilivyo Kinondoni ambako karibu vigogo wengi wa serikali wanaishi.
Kwa...
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA DIGNITY WAFANYA SEMINA JUU ELIMU KUHUSU HAKI ZA BINADAMU!!
4:14 AM
No comments
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akielezea mambo mbalimbali katika semina hiyo. kulia kwake ni afisa kutoka DIGNITY, Bi. Brenda Van Den Bergh. (Picha zote na Mpiga picha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Tume ya haki za binadamu na utawala bora ikishirikiana na Taasisi ya haki za binadamu kutoka Denmark (DIGNITY) wamefanya semina inayohusu haki...
Saturday, November 28, 2015
MFAHAMU MBUNGE MWENYE UMRI MDOGO KULIKO WOTE *PICHAZ*
9:08 AM
No comments

AMINA ABDALAH NDIE MBUNGE MDOGO KABISA MWENYE UMRI WA MIAKA 24 KATIKA BUNGE LA&nbs...
TRA YAANZA KUNG’ATA, WAFUNGA SAPNA, WAKAMATA MAGARI UDA KISA? IPO HAPA
9:04 AM
No comments
MAMLAKA ya Mapato Tanzania(TRA), imeanza operesheni maalumu ya kunasa wafanyabishara wakubwa ambao wengine ni wadaiwa sugu ambapo wanadaiwa na mamlaka hiyo huku wafanyabishara wa duka la simu la Sapna lililopo eneo la Posta mpya jijini Dar es Salaam likitiwa kufuli.
Operesheni ya TRA dhidi ya wanaodaiwa fedha ilianza jana maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ambapo maofisa wa mamlaka...
DIAMOND: SITAKI KABISA KUSHIKA SIMU YA ZARI NAOGOPA KUUMIA!
9:03 AM
No comments

Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa yeye na mpenzi wake Zari ni watu ambao huwa hawapendi
kupekuliana simu simu zao ili kuepukana na matatizo yanayoweza kusababishwa na simu za mikononi.
Simu za mikononi huwa ni moja ya chanzo cha ugomvi kwa wapenzi wengi, na tumekuwa tukisikia story za couple nyingi kuingia kwenye matatizo kutokana tu na mmoja kukuta ujumbe au picha zenye utata kwenye simu ya mwenzie hata kama haimaanishi kuwa anamsaliti.
Diamond...
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDWA CHA SUKARI MAHONDO LEO
9:01 AM
No comments

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Bw, Mahesh Patel Mwenyekiti wa Kiwanda cha Sukari cha Mahonda kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja alipofanya ziara maalum ya kutembelea kiwanda hicho leo,ambacho Kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka Nchini India.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed...
MAMIA WAUAGA MWILI WA ALFONCE MAWAZO *PICHAZ*
8:59 AM
No comments

Alfonce Mawazo enzi za Uhai wake
Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), leo wamewaongoza mamia ya wakazi wa mkoa wa Mwanza kutoa heshima za mwisho, za kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Geita Marehemu Alphonce Mawazo.
Katika shughuli hiyo baba mdogo wa Marehemu Alphonce Mawazo, Charles Lugiko na mtoto mkubwa wa Marehemu Prescious Mawazo wakatoa...
MAKONTENA 31 YA MAGOGO YAKAMATWA BANDARINI DAR
8:55 AM
No comments
By Julius Mathias, Mwananchi
Dar es Salaam. Wizara ya Maliasili na Utalii imekamata makontena 31 yaliyokuwa na magogo ya mninga katika Bandari ya Dar es Salaam yenye thamani ya zaidi ya Sh300 milioni ambayo yalikuwa yanasafirishwa kwenda China.
Usafirishaji wa magogo hayo ambayo taarifa za awali zinaeleza yametoka Zambia, ilipigwa marufuku na Serikali za nchi zote mbili, hivyo biashara yake kuwa haramu.
Akizungumza na waandishi wa habari...
Monday, November 23, 2015
SERIKALI YATOA MASHARTI KWA WATUMISHI WA UMMA KUSAFIRI NJE YA NCHI
4:25 AM
No comments

OFISI ya Rais imesambaza mwongozo unaoweka masharti ambayo watumishi wa umma wanaotaka kusafiri nje ya nchi watatakiwa kutimiza ili wapewe kibali, ikiwa ni mkakati wa kutekeleza agizo la Rais John Magufuli la kudhibiti safari holela za nje.
Rais alitoa agizo hilo baada ya kikao baina yake na makatibu wa wizara kilichofanyika Ikulu siku chache baada ya kuapishwa, akisema ofisi yake ndiyo itakayotoa kibali kwa watumishi ambao wana safari za nje.
Kwa...
TAZAMA *VIDEO* YA BINTI AMBAYE NI KIPOFU & KIZIWI KUTOKA ERITREA ALIYEHITIMU CHUO KIKUU CHA HARVARD
4:23 AM
No comments

HABEN Girma ni mwanafunzi wa kwanza asiyeweza kuona au kuisikia, kuhitimu kutoka chuo kikuu cha Harvard. Ana lengo kubwa katika maisha. Alizaliwa Carlifornia baada ya mama yake kukimbia kutoka Eritrea miaka ya 80, na kwenda Marekani kama mkimbizi.
Alifaidika kutokana na sheria ya mfumo wa elimu nchini Marekani inayowapa haki walemavu, jambo ambalo kaka yake ambaye pia haoni alinyimwa nchini kwao Eritrea. Sasa hivi ni mwanasheria anayejitahidi...
MISA TAKATIFU YA KUMBUKUMBU YA NYAMITI LUSINDE BALTIMORE, MARYLAND
3:57 AM
No comments
Picha ya mpendwa wetu Nyamiti Ivan Lusinde ikiwa kanisani siku ya Jumapili Novemba 22, 2015 siku ilikofanyika misa takatifu ya kumbukumbu na kuhudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa ameongozana na mkewe pamoja na mwanae. Nyamiti alikua mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani alipatwa na mauti alipokua likizo Tanzania katika hospitali ya Kariuki alipokua amekwenda kwa matibabu baada ya kuugua ghafla...
Subscribe to:
Posts (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Matija Nastasic (Manchester City and Serbia) Gareth Bale (Wales and Real Madrid) Daniel Agger (Liverpool and Denmark) Zlatan Ib...
-
Pichani: Mike Sonko na Rachel Shebesh HIZI ni baadhi ya picha za Sonko na Shebesh. Mike Sonko alisema zilitengenezwa nakundi la...
-
KUPENDEZA ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza se...
-
RECHO: Hapa ndipo yalipoanza kuandaliwa na kuzikwa kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda...
-
TIMU ya taifa Intamba Murugamba kutoka Burundi inajiandaa vilivyo kwa wiki ya pili sasa katika mechi za mtoano ya kufudhu CAN 2017 nchin...