WENGI wanasema ni moja ya hatua katika kuutangaza utamaduni na mavazi ya kiafrika kwani wasanii wakubwa kama hawa wanapovaa mavazi yao huwa ni chachu kwa mashabiki wake kuyavaa, Mwanakaka Chriss Breeezy ameonekana kutupia Kiafrika afrika kama anavyoonekana pichani hapo juu, nafikiri haya ni matunda ya wasanii wa kiafrika kuwa na uhusiano wa karibu na wasanii wakubwa kama Wiz Kid ambaye kwa sasa ana-hang out sana tu na kina Chriss na Rihanna pia.
Safi Chriss angalau unapata fleva ya kuwa na asili ya Kiafrika…!!!Friday, July 18, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
ZILE picha za mahaba za msanii wa Hip Hop Bongo, Nay Wa Mitego akiwa na msichana kitandani zimezua balaa kwa mama mtoto wake Siwema Eds...
-
MISS TANZANIA wawili, Happiness Millen Magese (2001) na Angela Damas (2002), wamejitokeza na kujitangaza wazi kuwa ni miongoni mwa mamil...
-
MKALI wa KELE KELE LOVE-Tiwa Savage, na Meneja Wake, TEEBILLZ, kwani wameweza kutimiza ndoto yao ya muda mrefu, kufunga Ndoa. Kama ...
-
Kim akipozi katika zuria jekundu, akionyesha alichojaaliwa na muumba. Kim akipozi katika zuria jekundu Kim akiingia ukumb...
0 comments:
Post a Comment