Kutoka Misri
MAHAKAMA moja nchini Misri imempa mwanablogu mmoja kifungo cha miaka mitatu gerezani kwa kukufuru na kudharau dini.
Alber Saber alikamatwa mwezi wa tisa baada
ya majirani kumlaumu kwama ndiye aliweka
kilinganishi cha mtandao kilichoashiria sinema iliyoidhihaki dini ya
Kiisilamu, na iliyosababisha...
NYUMBANI KITAIFA
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BIASHARA
Ulimwengu wa habari.
MATAIFA MENGINE
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BURUDANI
Ulimwengu wa habari.
MAAJABU DUNIANI
Ulimwengu wa habari.
Thursday, December 13, 2012
Wednesday, December 12, 2012
RAIS DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA WATANZANIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA UHURU WA TANZANIA UWANJA WA UHURU
12:21 AM
No comments
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dk.Jakaya
Kikwete akiwasili katika gari maalum la Kijeshi na Mkuu wa majeshi
Jenerali Davis Mwamunyange kwenye uwanja wa uhuru kwa ajili ya
maadhimisho ya miaka 51 Uhuru wa Tanzania Bara 2012 yanayofanyika kila
mwaka Desemba 9, Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu ni “Uwajibikaji,
Uadilifu na Uzalendo ni nguzo ya Maendeleo ya Taifa letu”
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri...
Sunday, December 9, 2012
NIYONZIMA AONGEZA MKATABA WA MIAKA 2 YANGA KWA DOLA 70,000 NA MSHAHARA WA DOLA 3,000
11:24 AM
No comments
Habari na Picha kwa hisani ya Shaffih Dauda
Zikiwa zimepita siku kadhaa za
mazungumzo juu ya kuongezwa kwa muda wa mkataba kiungo mshambuliaji wa
Dar Young African - Haruna Niyonzima, hatimaye siku ya jana klabu bingwa
ya Afrika mashariki na kati imefanikiwa kukubaliana kimsingi na
mchezaji huyo kumuongezea mkataba mpya.Taarifa rasmi nilizozipata ni kwamba
Haruna Niyonzima ambaye amebakiza miezi sita katika mkataba wake na
Yanga...
SWAHILI FASHION WEEK BAAB KUBWA!
10:14 AM
No comments

Kama wewe ni mpenda mitindo basi jionee mwenyewe jinsi models walivyoonekana vizuri katika Ukumbi wa Golden Tulip ikiwa ni maonesho kwaajili ya wabunifu wachanga na waliobobea kuweza kutafuta masoko ya nje, ikifanya na USAID COMPETE shirika linalokuza vipaji vya watu mbalimbali.
...
AJALI YATOKEA MLIMA KITONGA IRINGA
9:44 AM
No comments
Habari na Picha kwa hisani ya Francis godwin
Ajali
yasababisha msongamano wa magari katika Mlima Kitonga barabara kuu ya
Iringa -Mbeya baada ya lori kuanguka katika eneo hilo .kutokana na
ajali hiyo baadhi ya mabasi ya abiria yanayokwenda Dar na kutoka mikoa
ya kusini yalikwama kwa muda mchana wa leo hadi lori hilo
lilipovutwa eneo hilo hakuna aliyepoteza maisha...
Saturday, December 8, 2012
JIPANGE WOMEN GROUP YAENDELEA NA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI
1:57 AM
No comments

Normal
0
false
false
false
EN-US
JA
X-NONE
...
Friday, December 7, 2012
WAMA WATOA VITANDA 80 MUHIMBILI
12:57 PM
No comments
Mwenyekiti wa Wama mama Salma Kikwete akikata utepe kama ishara ya
kukabidhi vitanda 80 kwa uongozi wa Hospitali ya Muhimbili leo, kulia ni
Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Dk. Hussein Mwinyi na kushoto ni
Mkurugenzi wa Hospitali ya Muhimbili Dk Marina Njelekela.
PICHA NA FULLSHANGWEBLOG.COM
Mama
Salma Kikwete akisoma hotuba yake mara baada ya kukabidhi vitanda 80
katika hospitali ya Muhimbili leo (kushoto) ni Waziri wa Afya na Ustawi
...
Subscribe to:
Posts (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Matija Nastasic (Manchester City and Serbia) Gareth Bale (Wales and Real Madrid) Daniel Agger (Liverpool and Denmark) Zlatan Ib...
-
Pichani: Mike Sonko na Rachel Shebesh HIZI ni baadhi ya picha za Sonko na Shebesh. Mike Sonko alisema zilitengenezwa nakundi la...
-
KUPENDEZA ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza se...
-
RECHO: Hapa ndipo yalipoanza kuandaliwa na kuzikwa kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda...
-
Kocha mpya wa klabu ya Yanga Marcio Maximo. Aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya hapa nchini Maxio Maximo kutoka Brazil amepata fursa ...