Msanii wa muziki wa Hip Hop, Kala Jeremiah anaendelea na nyimbo zake
za kiuwanaharakati ambapo anatarajia kuachia wimbo wake mpya ‘Wana
Ndoto’ aliomshirikisha binti mdogo.
Rapper huyo alisema wimbo huo unazungumzia maisha ya jamii pamoja na
watoto wadogo ambao wanandozo za kufanya mambo fulani katika maisha yao.
Jumatano hii, Kala ameamua kuweka wazi uwezo na binti huyo ambaye amemshirikisha katika wimbo huo.
“Nimewahi kukutana na watoto...
NYUMBANI KITAIFA
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BIASHARA
Ulimwengu wa habari.
MATAIFA MENGINE
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BURUDANI
Ulimwengu wa habari.
MAAJABU DUNIANI
Ulimwengu wa habari.
Thursday, July 21, 2016
CHECK VIDEO MPYA YA EMMANEM ON AIR – CHUMA YAO
6:03 AM
No comments

Video ya rapper Emmanem On Air ya wimbo wake Chuma Yao.
Video imeongozwa na Hobo Cinemax....
EXCLUSIVE: BABUTALE AELEZA YAKE KUHUSIANA NA AMRI YA MAHAKAMA YA KUKAMATWA NA KUMLIPA SHEIKH MILIONI 250
5:48 AM
No comments
Meneja wa Tip Top Connection na wa Diamond Platnumz, Babutale anakabiliwa na mtihani mzito baada ya mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam kutoa hati ya kukamatwa kutokana na kudaiwa kutotii amri iliyomtaka amlipe Shekh Hamis Mbonde, shilingi milioni 250.
Kwa mujibu wa habari iliyoandiwa na gazeti la Mwanahalisi Jumanne hii, Tale anatakiwa alipe kiasi hicho kikubwa cha fedha kwa kudaiwa kuvunja mkataba kati yake na Sheikh Mbonde wa kuuza na kusambaza...
Wednesday, July 13, 2016
RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MPANGO WA UGAWAJI WA MADAWAJI KWA MAJIMBO MBALIMBALI NCHINI *PICHAZ*
9:55 AM
No comments
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mbunge wa Jimbo la Ilala Mh. Idd Azzan Madawati yaliyotolewa na Ofisi ya bunge kwa ajili kwa niaba ya wabunge waliopata mgao huo katika awamu ya kwanza.Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa...
Tuesday, July 12, 2016
RAIS MUSEVENI WA UGANDA ASIMAMISHA MSAFARA KUPOKEA SIMU *PICHAZ*
7:40 AM
No comments

Rais wa Uganda bwana Yoweri Kaguta Museveni alizua kihoja katika kijiji kimoja karibu na mpaka wa Uganda na Tanzania
Je ushwahi kupokea simu ya dharura ?
Je wewe hujitenga vipi na watu waliokaribu nawe ima ni mkeo ama hata wafanyakazi wenza iliupokee simu ya kibinafsi?
Na je katika enzi hizi za simu za kisasa au Smartphone wangapi wetu wanatumia simu za kale zisizo na touchscreen ?
Haya basi ,
Museveni hata aliwapungia mkono wapita njia
Hayo...
VIJANA WA CHADEMA WATII AGIZO LA MBOWE..VIONGOZI WAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI LEO
7:27 AM
No comments

JESHI la Polisi limekwama kuwafikisha mahakamani viongozi wanne wa Taifa wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), baada ya kukosea hati ya mashtaka.
Wanaoshikiliwa ni Mwenyekiti wa Taifa, Patrobas Katambi, Katibu Mkuu, Julius Mwita, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Joseph Kasambala na Mwenyekiti wa Mkoa wa Mbeya, George Tito.
Akizungumza jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa alisema makosa yametokea wakati wa uandaaji wa...
WAUAJI 30 WA ALBINO NA VIKONGWE KUNYONGWA
6:39 AM
No comments

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amesema jumla ya watuhumiwa 30 wa mauaji ya vikongwe na wenye ulemavu wa ngozi (albino) nchini, wamehukumiwa kunyongwa, baada ya kupatikana na hatia ya mauaji hayo.
Dk Mwakyembe amesema pia kuwa serikali itaendelea kutoa adhabu kali kwa watu watakaobainika kuendelea kuhusika na mauaji ya watu hao ili kumaliza tatizo hilo, ambalo limeipaka matope Tanzania kwa kuonekana sio kisiwa tena cha...
KITUO CHA DK. MWAKA CHAFUTIWA USAJILI, WENGINE KUSIMAMISHWA MIEZI 6 NA KUPEWA ONYO KALI
6:31 AM
No comments

BARAZA la Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini, limekifutia usajili wake wa kutoa huduma za kitabu, Kituo cha Tiba Asilia cha ForePlan Kliniki kilichopo Ilala Bungoni jijini Dar es salaam, kinachomilikiwa na Dkt. Juma Mwaka maarufu kama Dkt. Mwaka, kwa madai kuwa kimekiuka taratibu za kitabu za tiba mbadala.
Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa Baraza hilo, Dkt. Edmund Kayombo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, kwenye Ukumbi wa Wizara...
WAKURUGENZI WATENDAJI WA HALMASHAURI, MIJI, MANISPAA NA MAJIJI 185 WALA VIAPO VYA MAADILI IKULU LEO
6:16 AM
No comments

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Miji, Manidpaa na Majiji 185 kabla ya hawajakula kiapo cha maadili ya viongozi leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mkutano ulioitishwa na Rais John Magufuli kwa Wakurugenzi wa Halmashauri zote za wilaya na baadhi ya Wakuu wa wilaya ikulu jijini Dar es salaam...
BABY FUTURE AANZA KUMUITA MUME WA CIARA ‘BABA’ *VIDEO*
6:06 AM
No comments
Hivi karibuni Ciara alifunga ndoa na mchumba wake Russell Wilson nchini Uingereza. Na sasa mtoto aliyezaa na rapper Future ameanza kumuita Russell ‘Papa’ neno linalomaanisha ‘Baba.’
Video inayomuonesha mtoto huyo akimuita baba yake wa kufikia ‘Papa Russ’ imesambaa mtandaoni. Mtoto huyo anaonekana akimuomba busu Russell na yeye kumjibu ‘You’re so sweet.’
Hivi karibuni mahakama iliamua Ciara na Future wawe na haki sawa za kumleta mtoto wao aitwaye...
Monday, July 11, 2016
COUPLE 10 ZA MASTAA WABURUDISHAJI ZENYE NGUVU ZAIDI TANZANIA – 2016 *PICHAZ*
9:52 AM
No comments
Tanzania imebarikiwa kuwa na tasnia ya burudani yenye watu wenye nguvu sana.
Lakini nguvu yao huwa maradufu pale wakiwa na uhusiano wa kimapenzi na mastaa wenzao. Ninakuletea orodha ya couple 10 za mastaa wa Tanzania zenye nguvu zaidi kwa sasa. Nguvu zao zipo kwenye lundo la mashabiki walionao, ushawishi wao, utajiri wao na wafuasi walionao kwenye mitandao ya kijamii. Wengi ni kutokana na jinsi walivyodumu kwa muda mrefu, kutumia brand zao kwa...
CHECK OUT VIDEO MPYA YA G NAKO FT NIKKI WA PILI - LAINI
9:49 AM
No comments

Rapper wa kundi la Weusi G Nako ameachia video mpya ya wimbo “Laini”, akiwa amemshirikisha Nikki wa Pili. Video imeongozwa na Freeman Richard....
Subscribe to:
Posts (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Matija Nastasic (Manchester City and Serbia) Gareth Bale (Wales and Real Madrid) Daniel Agger (Liverpool and Denmark) Zlatan Ib...
-
Pichani: Mike Sonko na Rachel Shebesh HIZI ni baadhi ya picha za Sonko na Shebesh. Mike Sonko alisema zilitengenezwa nakundi la...
-
KUPENDEZA ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza se...
-
RECHO: Hapa ndipo yalipoanza kuandaliwa na kuzikwa kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda...
-
Kocha mpya wa klabu ya Yanga Marcio Maximo. Aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya hapa nchini Maxio Maximo kutoka Brazil amepata fursa ...