Friday, January 9, 2015

YALIYOMKUTA SINTAH….NI UTATA MTUPU!

Sintah katika Pozi.
HAYA ni majibishano aliyofanya Sintah na shabiki yake mtandaoni kuhusu HOT couple in Town ya Diamond Platnumz na mtoto mzuri Zari 'The Boss Lady'….Tiririka nao hapo chini…!
Huyo Mungu unaemjua mshitakie mabaya yangu uone kama atajibu coz anajua whats going on, siwezi nikaelezea vitu vingine but my close pipo know so go ahead n curse....kwahio urafiki wangu na Zari unaingilianaje na huyo Wema?? please ongea vitu vya maana na mwisho leo kuweka huu upupu hapa, maisha ya zari ni ya kwake naomba nieleweke mimi ni rafiki tu i can advise ila siwezi ku control maisha yake.


Kuna watu hawawezi kumaliza siku bila kunitaja jina langu tena kwa herufi kubwa bila hata aibu , sasa mimi ninajipendekeza kwa wanawake wa Diamond wanisaidie nini kwa mfano? wao wana nini na mimi nina nini?
Sintah katika Pozi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI