Thursday, January 8, 2015

MAMA MOTO WA LUDA ADAI HARUSI YA GHAFLA YA LUDA NI TRICK YA KUMCHUKUA MTOTO WAO

RIPOTI iliyoandikwa na mtandao wa TMZ inadai kuwa mama mtoto wa Rapper na muigizaji (Fast and Furious) Luda Cris, Tameka Fuller, anahisi kuwa Luda anataka tu kumuonyesha jaji katika ugomvi wao wa kumbea mtoto wao mwenye umri wa mwaka mmoja kuwa kwa sasa yuko stable na nyumba iliyoimara na nzuri kwa makuzi ya mtoto wao kuliko nyumba ya single mother Tamika.
Tamika anahofia jaji anaweza kukubaliana na madai atakayokuja nayo Luda.
Luda alimvisha pete GF wake Eudoxie wakati wa sikukuu za  XMAS na kumuoa siku hiyo hiyo. Tamika anahisi yote hayo ni mipango tu.
Kesi yao itaanza kusikilizwa tena baadae mwezi huu.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI