Friday, January 9, 2015

SHUHUDIA HARAKATI ZA CHADEMA, SUGU NA PROF. J WAWASHA MOTO MBEYA *PICHAZ*


Kabla ya kuelekea kwenye mkutano aliye vaa kimasai ni Makamu mwenyekiti BAVICHAMhe. Msigwa (Wa pili kushoto), Prof. J na Mhe. Mbilinyi 'Sugu' wa mwisho kulia.
Njiani msafara wa Mh. Mbilinyi ukielekea kwenye mkutano.
Prof. Jay akizungumza na waandishi wa habari.
Kutoka kushoto, Prof Jay, Mh. Mbilinyi na Msigwa.
Prof. Jay akizungumza na wana Mbeya.
Mh. Msigwa akizingmza na wanaMbeya.
Juu na chini ni aliye vaa kimasai ni Makamu mwenyekiti BAVICHA.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI